Matokeo kidato cha nne 2017/2018,matoke yote haya hapa pamoja na shule 10 zilizofanya vizuri


HOT NEWS
NECTA2018
Matokeo kidato cha nne 2018, baadhi ya matokeo haya hapa pamoja na shule 10 zilizofanya vizuri

Baraza la mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani ambao ulifanyika October 2017 ambapo Shule iliyoshika namba moja inatoka Mbeya.
Kuyatizama matokeo full bofya link  chini

Link #1: BOFYA HAPA

Link #2: BOFYA HAPA

Link #3: BOFYA HAPA

*TOP 10 YA SHULE BORA.
1. St. Francis Girls ya Mbeya
2. Feza Boys ya Dar es salaam
3. Kemebos ya Kagera
4. Bethel Sabs Girls ya Iringa
5. Anwarite Girls ya Kilimanjaro
6. Marian Girls Pwani
7. Canossa ya Dar es salaam
8. Feza Girls ya Dar es salaam
9. Marian Boys ya Pwani
10. Shamsiye Boys ya Dar es salaam
*TOP 10 YA SHULE ZA MWISHO KITAIFA
10. Mtule ya Kusini Unguja
9. Nyeburu ya Dar es salaam
8. Chokocho ya Kusini Pemba
7. Kabugaro ya Kagera
6. Mbesa ya Ruvuma
5. Furaha ya Dar es salaam
4. Langoni ya Mjini Magharibi
3. Mwenge S.M.Z ya Mjini Magharibi
2. Pwani Mchangani ya Kaskazini Unguja
1. Kusini ya Kusini Unguja

Baadhi ya matokeo haya hapa


The future is now get more fans and make your dreams come true.
 CHRISBIZO MEDIA we offer support to upcoming musics artist  to certtain their goals, send us your music through.
Email – chrisbizomedia@gmail.com  / Call – +255715651581

No comments

Powered by Blogger.